Header Ads

Mtoto wa wa siku 4.@prince Raiz 2016 akaribia kufikisha 50K follower instagram

mtoto wa chibu D chibu Dee.. na Zarina Hassan

ajulikanae kwa jina la Prince Raiz instagram kwa jina la @princeraiz2016 akaribia kufikisha followers hamsini elfu(50k)...na kuaminika kuwa baada ya siku chache atawapiku mastaa kibao wa bongo...

Mtoto huyu ambaye anafuata nyayo za dadake kuwa mtoto maarafu kwa kuwa na followers nyingi hapa Tanzania.Hii inatokana na umaarufu wa wazazi wao wawili.

No comments

Powered by Blogger.