Header Ads

KING KIBA..SIO TUZO ZA MUZIKI TUU...BALI HATA SOKA!!

MICHEZO Alikiba hajaishia kupata tuzo za muziki pekee, amepata hii katika soka December 18, 2016



Msanii wa Bongofleva Alikiba Jumamosi ya December 17 2016 alikuwa Uganda kucheza mchezo wa Hisani kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kusaidia wa mama wajawazito ambao unajulikana kama Dorah Foundation.

Alikiba akiwa katika mchezo huo wa soka wa hisani uliyowahusisha mastaa mbalimbali, upande wake wa The Celebrity White Team waliibuka na ushindi wa goli 4-1, huku Alikiba akiwa kahusika katika upatikanaji wa goli la pili katika ushindi huo.
Hii kuifanya timu yake kuibuka kidedea katika mtanange huo na kuwawezesha THE CELEBRITY TEAM kubeba kikapi cha ubingwa.!

No comments

Powered by Blogger.