
AudioMPYA: Nandy ametuletea hii single yake mpya ‘One Day’ By Edwin TZA
onDecember 13, 2016
Msanii wa kike aliwahi kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Tecno Own Tha Stage na kuibuka kuwa mshindi wa pili, sasa leo Dec 13, 2016 ametuletea hii single yake mpya iitwayo One Day.
Post a Comment